Follow Me On Instagram


Nyimbo Mpya Tz update app yetu sasa

Tangazo Tangazo Tangazo

Kwako mpenzi wa nyimbo za bongo fleva na mtumiaji wa App ya "Nyimbo Mpya" tunapenda kuwajulisha kua tumefanya marekebisho ya App yetu sasa waweza kudownload nyimbo moja kwa  moja katika app yetu mpya iliopo playstore yenye muonekano mzuri na pia unaweza kusikiliza radio na kuangalia video za YouTube kupitia App hiyo



 Hapa unaweza ku download nyimbo moja kwa moja kwenye app hii bila kwenda kwenye website
 Pia unaweza kubadili muonekano wa app katika rangi uipendayo
 Pia waweza kuangalia video Zinazotrend YouTube kupitia hii App


No comments