Follow Me On Instagram


Muna Love "Maneno Yangeniweka Mbali na Wokovu"

 Muna: Maneno Yangeniweka Mbali na Wokovu

MSANII wa filamu Bongo, Rose Alphonce ‘Muna’ amesema kuwa kama angesikiliza kejeli za watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii hakika as­ingekuwa na wokovu alionao mpaka Leo.  Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Muna alisema kuwa maneno ya kwenye mitandao yanaumiza sana kiasi kwamba kama mtu huna Mun­gu wa kweli huwezi kuvumilia na unaweza kujikuta unaweka wokovu pembeni.

“Kama nisingem­pokea Yesu vizuri maneno ya kwenye mitandao yangeniten­ganisha na wokovu kwani safari yangu ya kuokoka ingeishia njiani, Mungu alinisima­mia mpaka leo sijate­tereka,” alisema Muna.


from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2VQMJei
via IFTTT

No comments