Follow Me On Instagram


ORODHA ya Abiria Waliokuwa KWENYE Ndege ya Ethiopian Airlines imetolewa



Orodha ya abiria waliokuwa kwenye kampuni ya ndege ya Ethiopian Airlines imetajwa.

32 Kenya
18 Canada
9 Ethiopia
8 Chinese
8 Italian
8 American
7 France
7 British
6 Egypt
5 Netherlands
4 UN passport
4 Indian

3 Russian
2 Moroccan
2 Israeli
1 Belgian
1 Igandan
1 Yemeni
1 Sudanese
1 Togo
1 Mozamb
1 Norwegian

Mapema leo asubuhi ndege ya Ethiopian Airlines imepata ajali na kuanguka huku wasafiri 149 na wahudumu wanane waliokuwemo ndani ya ndege hiyo hakuna hata mmoja aliyeweza kunusurika na wote wamekufa.



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2J229uN
via IFTTT

No comments