TANGAZO: TATIZO LA KUTOONEKANA KWA PICHA KWA WATUMIAJI WA HALOTEL LIMEKWISHA
Tatizo hili linatokana na Mifumo ya Google kubadilika na kusababisha Baadhi ya mitandao ya simu kushindwa kutoa Data zinazo weza kuonyesha Picha katika App yetu.
Kwa watumiaji wa Voda na Tigo hawakukubwa na tatizo hili ila kwa watumiaji wa Halotel na Airtel ndio walikubwa na tatizo hili.
Ila kwa sasa tumeweza kufanyikisha kutatua tatizo hilo kwa upande wa mtandao wa Halotel na Tatizo hilo nimebakia kwa upande wa Airtel tu.
Bado tunaendelea na Ufumbuzi wa tatizo hili kwa Upande wa Airtel tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza katika kipindi hiki chote.
Kwa Maoni au maswali wasiliana nasisi kupitia namba hizi 0719788949 - 0789547574
No comments